Jumatano, 7 Oktoba 2026
VIDEO
Pepfar
Afya

PEPFAR na mustakabali wa mfumo wa afya Tanzania

Kwa zaidi ya miongo miwili, Tanzania imekuwa ikitegemea kwa kiasi kikubwa ufadhili wa kimataifa katika kuendesha baadhi ya huduma muhimu za afya, hasa mapambano dhidi ya VVU na UKIMWI.

Nchiyetu online tv · Dakika 15 zilizopita